Raia wa Uganda waliorejeshwa kutoka Afrika Kusini wiki iliyopita wamepelekwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Uongozi kwa ajili ya kufundishwa itikadi ya chama tawala, masuala ya siasa, na namna ya kushiriki katika Mpango wa maendeleo.
Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na aliyekuwa kiongozi wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, Mzee Mike Arereng, kutoka Kampala, Uganda.
Abedi alimuuliza sababu zilizoifanya serikali kuchukua maamuzi hayo, Akijibu swali hilo, Mzee Mike Arereng alianza kwa kufafanua kwamba...

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani
05:24