Waziri wa mambo ya nje wa Kenya amesema Urusi imekubali kusitisha kuwatuma raia wa Kenya kupigana katika vita vya Ukraine, kufuatia mazungumzo yaliyofanyika Moscow.Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Martin Wren, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi-Kenya, Abedi alimuuliza kama taarifa hizi zikoje kiundani, Martin Wren alianza kwa kueleza.

Watu kadhaa wauawa katika shambulio la kuvizia Maiduguri
04:20

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa yuko ziarani Afrika ya Kati
05:49

Maandamano ya kupinga mashambulizi ya drone yafanyika Goma
06:12