Maelfu ya wakazi wa mji wa Goma wameandamana jana Alkhamisi hadi katika ofisi za Umoja wa Mataifa, MONUSCO, kupinga mashambulizi ya ndege zisizo na rubani, maarufu kama drone.
Mwandishi wetu Austere Malivika na ripoti kamili kutoka Goma-Drc.

Urusi imesema haitoajiri waKenya kuigana upande wake Ukraine
05:25

Watu kadhaa wauawa katika shambulio la kuvizia Maiduguri
04:20

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa yuko ziarani Afrika ya Kati
05:49