Urusi iko tayari kuisaidia Msumbiji kuondoa tishio la ugaidi linaloikabili nchi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, alisema jana Alhamisi.
Manasse bin Bendera na ripoti kamili.

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani
05:24