Uganda: Waziri wa Ulinzi wa Uganda, Kiryowa Kiwanuka, amesema wanajeshi wa Uganda wataendelea kubaki nchini Somalia licha ya kutokuwa na uhakika wa ufadhili, akitaja makubaliano ya usalama ya pande mbili kati ya Kampala na Mogadishu.
Manasse bin Bendera na ripoti kamili.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01