Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed

View descriptionShare
 

Kiongozi wa Fano amesema makundi yenye silaha yameunda muungano kwa lengo la kushirikiana katika juhudi za kumuondoa madarakani waziri mkuu Abiy Ahmed.

Awali Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Coletta Wanjohi, Abedi alimuuliza maamuzi hayo ya Fano yanatokana na nini, Coletta alianza kwa kufafanua zaidi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,619 clip(s)