Serikali ya Uganda imefunga mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook kwa nia ya kuzuia maandamano yanayoendelea nchini humo.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Cassius Ochokombege kutoka Kampala-Uganda, Abedi alimuuliza kama maandamano yalifanyika kwa mara nyingine tena hii leo kote nchini, Cassius alianza kwa kufafanua zaidi.