Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc_ Kesi dhidi ya kiongozi wa waasi Corneille Nanga imeanzishwa rasmi Kinshasa

View descriptionShare

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mahakama ya Kijeshi ya Kinshasa-Gombe imefungua kesi dhidi ya Corneille Nangaa, ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi nchini humo.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Kizerbo Kasereka, ambaye ni m’bunge mstaafu wa nchi hiyo kutoka Kinshasa nchini humo, Abedi alimuuliza kama Corneille Nanga anashtakiwa kwa lipi, Kizerbo alianza kwa kujibu.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    600 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 731 clip(s)