Wafanyabiashara katika mipaka ya Kabanga, Rusumo na Mutukula nchini Tanzania, wameilalamikia serikali ya Tanzania kwa kutoweka mazingira wezeshi na rafiki, kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara zinazovuka mpaka, hali inayochochea ukwepaji wa kodi ili kuepuka kufilisika.
Mwandishi wetu Prosper Kwigize amefuatilia na kutuandalia ripoti ifuatayo kutoka Tanzania.