Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Tanzania_ Wafanyabiashara wa Tanzania walalamikia utitiri wa tozo mipakani

View descriptionShare

Wafanyabiashara katika mipaka ya Kabanga, Rusumo na Mutukula nchini Tanzania, wameilalamikia serikali ya Tanzania kwa kutoweka mazingira wezeshi na rafiki, kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara zinazovuka mpaka, hali inayochochea ukwepaji wa kodi ili kuepuka kufilisika.

Mwandishi wetu Prosper Kwigize amefuatilia na kutuandalia ripoti ifuatayo kutoka Tanzania.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    600 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 731 clip(s)