Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Sudan: Marekani kuisaidia Sudan dola milioni 203 kutatua matatizo ya kuisalama

View descriptionShare

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas-Greenfield amesema Marekani inaahidi dola za kimarekani milioni 203 ili kushughulia tatizo la usalama mdogo nchini humo.

Manasse bin Bendera na ripoti kamili.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    600 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 731 clip(s)