Marekani imealika jeshi la Sudan, na Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano yanayosimamiwa na Marekani, kuanzia Agosti 14 mwaka huu nchini Uswisi.
Manasse bin Bendera na ripoti kamili.
Darubini ya Afrika (Kiswahili)
600 clip(s)
Drc_ Kesi dhidi ya kiongozi wa waasi Corneille Nanga imeanzishwa rasmi Kinshasa
Ethiopia_ Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi imeongezeka Ethiopia
Uganda_ Mitandao ya kijamii yazimwa Uganda kwa nia ya kuzuia maandamano