Serikali ya Namibia imekataa ombi la kuongeza muda wa visa kwa mfalme wa Uganda ambaye amekuwa akipokea matibabu nchini humo tangu Aprili mwaka huu.
Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.
Darubini ya Afrika (Kiswahili)
600 clip(s)
Drc_ Kesi dhidi ya kiongozi wa waasi Corneille Nanga imeanzishwa rasmi Kinshasa
Ethiopia_ Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi imeongezeka Ethiopia
Sudan_ Marekani imealika jeshi la Sudan na vikosi vya waasi kwa mazungumzo