Mawakili wanaomwakilisha mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye, wamejiondoa katika kesi yake wakisema wanahofia usalama wao na uwezekano wa kukamatwa.
Awali, Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa, Mzee Mike Arereng, kutoka Kampala, Uganda.
Abedi alimuuliza ni nini hasa kimewafanya mawakili wa Dkt. Kizza Besigye kuhofia uwezekano wa kukamatwa; Mzee Mike Arereng alianza kwa kueleza.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01