Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Malawi_ Wakimbizi katika kambi ya wakimbizi ya Dzaleka wanapitia changamoto nyin

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,482 clip(s)
Loading playlist

Malawi: Wakimbizi katika kambi ya Dzaleka nchini Malawi wanakabiliwa na changamoto kubwa za kibinadamu, ikiwemo uhaba mkubwa wa chakula.
Awali, Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Ally Musangwa, ambaye ni mkimbizi katika kambi ya Dzaleka.
Abedi alimuuliza kuhusu hali ya maisha kwa ujumla katika kambi hiyo ya wakimbizi ya Dzaleka; Ally hakusita kuelezea kwa kina hali halisi ya maisha katika kambi hiyo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,619 clip(s)