Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,433 clip(s)
Loading playlist

Mjadala unaendelea nchini Malawi baada ya serikali, kupitia Wizara ya Elimu, kuongeza ada za masomo ya vyuo vikuu kutoka kwacha 650,000 hadi kwacha milioni 1.3 za Malawi.

Hatua hiyo imezua maoni tofauti, huku wengi wakihofia kuwa inaweza kufanya elimu ya juu isiweze kufikiwa na wanafunzi wengi.

Mwandishi wetu Ruchard Mwafulirwa na ripoti ifuatayo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)