Kituo cha kisasa cha kupambana na virusi hatari vya Ebola kimezinduliwa mjini Beni mashariki mwa Drc, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na ongezeko la visa na maambukizi ya ugonjwa huo.
Mwandishi wetu M’molelwa M’seke Dide na ripoti kamili.

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani
05:24