Waandamanaji nchini Kenya ambao walikuwa wamepanga kuandamana katika maeneo ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata nchini humo, wamezuiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo.
Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Martin Wren, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi-Kenya, Martin Wren alianza kwa kutoa taswira kuhusu sakata nzima la maandamano katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyetta nchini Kenya.