Kenya: Serikali ya Urusi imekanusha ripoti ya kiintelijensia iliyowasilishwa bungeni ikidai kuwa zaidi ya Wakenya 1,000 wamesajiliwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo.Mwandishi wetu Luke Wasike na ripoti kamili kutoka Nairobi-Kenya

Uganda - Serkali ya Uganda kuanza kununua dhahabu mwezi huu
05:04

AU - Tahadhari kuhusu mataifa ya Afrika kukubwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za kiuchumi
06:24

Waziri mkuu wa zamani wa Tunisia Ali Layaredh ahukumiwa 24 jela
05:03