Idadi ya waliofariki kutokana na maporomoko ya udongo nchini Ethiopia mapema wiki hii imeongezeka hadi 257 na inatarajiwa kuongezeka maradufu, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu ilisema.
Abedi Jean dela croix na ripoti kamili.