Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc_ Wakazi wa mpya wa Uvira waomba serkali kufungua mpaka wake na Burundi

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,286 clip(s)
Loading playlist

Drc: Wakazi wa mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanaitaka serikali kufungua haraka mpaka kati ya nchi hiyo na Burundi ili kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi.Awali Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wa habari wa kujitegemea Thomson Undji, Abedi alimuuliza kama kufungwa kwa mpaka huo kunaathiri kiasi gani wananchi wa kawaida, Thomson alianza kwa kueleza.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,420 clip(s)