Drc: Wagonjwa 19 waliopokelewa katika vituo mbalimbali vya matibabu ya Ebola wametoroka katika mkoa wa Kivu Kaskazini, huku visa na vifo vinavyotokana vikiendelea kuongezeka.
Mwandishi wetu M’molelwa M’seke Dide na ripoti ifuatayo.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01