Drc: Upinzani nchini DRC wasisitiza maandamano ya Julai 22 mwaka huu licha ya mazungumzo na rais wa Burundi.
Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Esaie Katasi kutoka Beni-Drc, yeye ni mchambuzi wa masuala ya siasa, Abedi alimuuliza anazungumzaje kuhusiana na mkutano huo, Esaie Katasi alianza kwa kutoa mtazamo wake.

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi
06:46

Malawi - Kupanda kwa ada ya vyuo kumeleta mjadala mkubwa katika jamii nchini Malawi
06:05

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani
05:24