Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc - Upinzani waapa kufanya maandamano Julai 22 mwaka huu licha ya mazungumzo na Rais wa Burundi

View descriptionShare
 

Drc: Upinzani nchini DRC wasisitiza maandamano ya Julai 22 mwaka huu licha ya mazungumzo na rais wa Burundi.

Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Esaie Katasi kutoka Beni-Drc, yeye ni mchambuzi wa masuala ya siasa, Abedi alimuuliza anazungumzaje kuhusiana na mkutano huo, Esaie Katasi alianza kwa kutoa mtazamo wake.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)