Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc_ Serkali ya Drc yapiga marufuku uchimbaji wa madini kwa miezi mitatu

View descriptionShare
 

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeweka marufuku ya muda wa miezi mitatu kwa shughuli za uchimbaji madini katika baadhi ya maeneo ya Jimbo la Kivu Kusini, kwa mujibu wa waraka wa Wizara ya Madini.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Andre Byadunia, ambaye ni mwenyekiti wa mashirika ya kiraia tarafani Uvira-Kivu Kusini, Abedi alimuuliza kama taarifa zenyewe zikoje kiundani, Andre Byadunia alianza kwa kuelezea.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,518 clip(s)