Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc_ Marekani imekaribisha hatua ya usitishwaji vita kwa muda wa siku 15 Drc

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
600 clip(s)
Loading playlist

Marekani imekaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa siku 15 zaidi kama njia mojawapo ya kuruhusu misaada ya kibinadamu kuwafikia wahanga wa mashariki mwa DR Congo.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na M’bunge mstaafu wa Drc Kizerbo Kasereka kutoka Kinshasa nchini Drc, Abedi alimuuliza kama amepokeaje taarifa hizo, Kizerbo alianza kwa kujibu.

 

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    600 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 731 clip(s)