Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Burundi - Vijana kupambana na uhaba wa ajira Burundi

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,433 clip(s)
Loading playlist

Katika manisipaa ya Matana, Mkoa wa Bururi, vijana na wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo ukosefu wa ajira, umaskini, upatikanaji mdogo wa mitaji, na uhaba wa mbolea za kilimo.

Ili kuboresha hali zao za maisha, wengi wao wameamua kujipanga katika vyama na ushirika kwa lengo la kuanzisha shughuli za kuzalisha kipato na kuimarisha ustahimilivu wao wa kiuchumi.

Mwandishi wetu Balen Havyarimana na ripoti kamili.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)