Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Bei ya mazao imepanda kutokana na mipaka kufungwa kwa sababu za Ebola

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,433 clip(s)
Loading playlist

Wakulima wa Rutshuru, Kivu Kaskazini, wanakabiliwa na kushuka kwa bei za mazao kutokana na kudorora kwa biashara za mpakani na Uganda na Rwanda baada ya kufungwa kwa mipaka kufuatia mlipuko wa Ebola.
Mwandishi wetu M’molelwa M’seke Dide ametuandalia na kututumia ripoti ifuatayo.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)