Afrika Leo: Mada ya leo ni kuhusu afya ya uzazi kwa wanawake barani Afrika, ni kwamba:
Afya ya uzazi na haki za wanawake barani Afrika ziko katika njia panda.
Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara inaendelea kuwa miongoni mwa maeneo yenye viwango vya juu vya utoaji mimba usio salama duniani.
Mwanahabari wetu Diana Wanyonyi ameandaa Makala yafuatayo akiwa mjini Mombasa nchini Kenya.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01

Mawakili wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye wajiondoa katika kesi inayomkabili
06:27