Afrika Kusini: Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amemkabidhi Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC.
Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Chris Kashindi, mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Durban, Afrika Kusini. Katika mahojiano hayo, Abedi alimuuliza ni masuala gani muhimu yaliyozungumzwa katika mkutano huo, Chris Kashindi alianza kwa kutoa mtazamo wake.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01