Afrika Kusini: Raia wawili wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanaotuhumiwa kujaribu kuingia bila kibali katika Mkutano wa SADC uliofanyika mwezi huu mjini Durban, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Durban.
Manasse bin Bendera alifanya mahojiano na Chris Kashindi, mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Durban, Afrika Kusini. Katika mahojiano hayo, Manasse alimuuliza kama anaweza kueleza kwa ufupi kilichotokea Durban na jinsi raia hao wawili wa DRC walivyokamatwa; Chris Kashindi alianza kwa kuelezea.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01