Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Afrika Kusini_ Serikali kupendekeza mfumo wa kusimamia nidhamu ya fedha za umma.

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,286 clip(s)
Loading playlist

Afrika Kusini: Serikali ya Afrika Kusini imesema katika bajeti yake ya mwaka kuwa itapendekeza mfumo wa kusimamia nidhamu ya fedha za umma.Ayam Shekifu alifanya mahojiano na Kapele Mutachi, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya Uchumi kutoka Durban hapa nchini, Abedi alimuuliza kama nini mtazamo wake kuhusiana na taarifa hii, Kapele Mutachi alianza kwa kujibu.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,420 clip(s)