Afrika Kusini: Viongozi kadhaa wamewasili Durban, Afrika Kusini, kwa Mkutano wa 46 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, ambapo masuala ya amani na usalama yanatarajiwa kutawala majadiliano.
Abedi Jean de la Croix alifanya mahojiano na Kapele Mutachi, mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Durban, Afrika Kusini. Katika mahojiano hayo, Abedi alimuuliza ni masuala gani muhimu anayotarajia yatazungumzwa katika mkutano huo, Kapele Mutachi alianza kwa kutoa mtazamo wake.

Drc_ Uongozi wa M23 waweka makataa ili kupambana na Ebola
06:29

Afrika Leo_ Changamoto ya afya ya uzazi
11:01

Makundi ya waasi yaungana kwa lengo la kuangusha utawala wa waziri mkuu Abiy Ahmed
06:01