Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc- Wakazi wengi wa wilaya ya Kalehe watoa wa wito wa amani

View descriptionShare
 

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
1,433 clip(s)
Loading playlist

Drc: Wakaazi wa vijiji mbalimbali wilayani kalehe mapakani mwa Kivu kusini na kaskazini wanaoshambuliwa na makundi yenye silaha waomba usalama kuimarishwa  na kushindikizwa kimaisha kutokana na maisha magumu wanayopitia kutokana na machafuko mashariki mwa Congo kwa muda mrefu,wengi wao wakiwa wakulima na wafugaji.

 

Austere Malivika na ripoti Zaidi kutoka Kalehe Kalungu .

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 1,569 clip(s)