Drc_ Mapigano kati ya waasi wa AFC_M23 na wazalendo yamezuka Walikale-DrcDrc: Waasi wa AFC/M23 na Wazalendo walipambana jana Jumanne, huko Mpombi, wilayani Walikale, Kivu Kaskazini, Drc.Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na Omar Kavota, ambaye ni mchambuzi wa siasa za Drc na maziwa makuu kutoka Beni-Drc, Abedi alimuuliza kama mapigano yanayoendelea nchini Drc, yanaashiria nini kuhusu mustakabali wa amani nchini humo, Omar Kavota alianza kwa kujibu.