Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Uganda_ Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amewekwa rumande

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
718 clip(s)
Loading playlist

Mwanasiasa wa upinzani wa muda mrefu nchini Uganda Kizza Besigye, ameripotiwa kutekwa wakati akiwa nchini Kenya, ambapo kwa sasa anazuiliwa katika gereza la kijeshi jijini Kampala nchini Uganda.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Cassius Ochokombege kutoka Kampala-Uganda, Abedi alimuuliza kisa na mkasa ni nini haswa, Cassius alianza kwa kufafanua zaidi.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    718 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 849 clip(s)