Sudan: Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema teknolojia ya kijeshi ya Ufaransa inatumiwa katika vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, na kukiuka vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa.
Manasse bin Bendera na ripoti kamili.