Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Drc_ Serkali ya Drc inashtumu waasi wa M23 kufanya mauaji ya kikabila

View descriptionShare

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
718 clip(s)
Loading playlist

Waziri wa mambo ya ndani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jacquemain Shabani, anawashutumu waasi wa M23 kwa mauaji ya kikabila, na kuwasili kwa idadi kubwa ya raia wa kigeni katika maeneo ya Rutshuru na Masisi, Kivu Kaskazini nchini humo, ambako wenyeji walikimbia ghasia.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano ya Edgard Mateso, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Butembo, Kivu Kaskazini nchini Drc, Abedi alimuuliza ni mauaji gani ya kikabila ambayo waziri alimaanisha, Edgard Mateso alianza kwa kujibu.

  • Facebook
  • X (Twitter)
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    718 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 849 clip(s)